Follow us!

Saturday, August 11, 2012

ARUSHA HIP HOP DAY- MAMBO JAMBO -SUMMER JAMMambo Jambo Summer Jam,Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A City is in th
houseeee!!!Bounako,StopaRhymez,Fidovato,WEUSI,TaigaRaiz,Badtaito,
J4c,MayC,Veejay,Gfaya,Meccacheka,
EffectZero,Gentriez,YungOmega na MirryCandle juu ya stage la kibabe,sound ya kibabe so kama vp jichange buku mbili siku iyo tewnde sawa kibabeeeeeee!!!!endelea kuskiza radio yako inayoaminika..93.0 Mambo Jambo Radio..

No comments:

Post a Comment